- 2,111 viewsDuration: 4:24Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka nchini-IEBC Erastus Ethekon amehakikishia taifa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka -2027 utakuwa huru na wa kuaminika. Akizungumza wakati wa mkutano wa maombi na staftahi ulioandaliwa na shirikisho la makanisa ya kievanjelisti, Ethekon aliyataja kuwa yasiyo na msingi madai kwamba aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa tume hiyo, Marjan Hussein Marjan alipigwa kalamu, akisema yanaweza kusababisha migawanyiko humu nchini kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive