Skip to main content
Skip to main content

IEBC yatarajiwa kuamua hatma ya Mbunge wa Kipipiri Wanjiku Muhia

  • | NTV Video
    2,821 views
    Duration: 2:47
    IEBC inatarajiwa kuamua hatma ya Mbunge wa Kipipiri, Wanjiku Muhia, katika kesi inayomkabili kuhusu madai ya kukiuka Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wakati wa kampeni zinazoendelea za uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya