Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China I Sekta ya Usafirishaji wa Vifurushi nchini China

  • | KBC Video
    173 views
    Duration: 2:16
    Makala yetu kuhusu ifahamu china Sekta ya Usafirishaji wa Vifurushi nchini China inaendelea Kukua kwa Kasi.Sekta hiyo imeendelea kunawiri katika miezi 11 ya kwanza ya mwaka 2025,ikishughulikia zaidi ya vifurushi bilioni180 kupitia huduma za express. Hii ni sawa na ongezeko la karibu asilimia 15 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2024,jambo linaloonyesha kuimarika kwa biashara za mtandaoni na huduma za usafirishaji wa haraka. Jacob Mogoa anaripoti zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive