- 651 viewsDuration: 2:29Inspekta Jenerali wa polisi, mwanasheria mkuu na idara ya huduma za polisi wametakiwa kufika mahakamani kueleza sababu za ni kwa nini wasichukuliwe hatua za kinidhamu kwa kukosa kufuata amri za mahakama. Jaji Alfred Mabeya wa mahakama ya Kisumu akisema kuwa ukaidi wa asasi hizo tatu huenda ukachangia katika kudorora kwa vipengee muhimu vya kikatiba ikiwemo haki ya wakenya kuandamana