Skip to main content
Skip to main content

India: Aliyekusanya chenji kwa miaka 3 anunua skuta mpya

  • | BBC Swahili
    26,270 views
    Duration: 1:34
    Mwanamume kutoka India amekuwa gumzo mtandaoni baada ya kununua skuta mpya kwa kutumia sarafu tupu alizokuwa akidunduliza kwa miaka mitatu. Boddu Ravi Joseph alilipa jumla ya kiasi cha rupee 123,000 takriban $1,300 zote zikiwa katika mfumo wa kwa sarafu, jambo lililowalazimu wafanyakazi wa duka hilo kutumia saa kadhaa kuhesabu fedha kabla ya kukamilisha taratibu za mauzo. Alikusanya sarafu hizo kama chenji alipokuwa akinunua mboga na mahitaji mengine ya nyumbani hadi alipofikisha kiwango kilichomwezesha kununua pikipiki hiyo. #bbcswahili #india #talangana Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw