Inspekta Jenerali wa polisi asema uchunguzi wa kisa cha kujeruhiwa kwa wanahabari umeanzishwa

  • | K24 Video
    124 views

    Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome amesema uchunguzi wa kisa cha kujeruhiwa kwa wanahabari wiki jana wakati wa maandamano ya Azimio umeanzishwa. Koome ambaye amewahakikishia wanahabari usalama wao wanapoendesha shughuli zao amekanusha madai ya utumizi wa nguvu kupita kiasi wakati wa kukabiliana na waandamanaji