Skip to main content
Skip to main content

IPOA yachunguza ukatili wa maafisa wa polisi Pwani

  • | Citizen TV
    439 views
    Duration: 1:56
    Mamlaka ya kuangazia utendakazi wa polisi IPOA imesema imepokea zaidi ya kesi elfu nne ambazo zinahusisha polisi kuwadhulumu wananchi eneo la Pwani .Wakizungumza mjini Voi kaunti ya Taita Taveta wakati wa kuhamasisha wakazi kuhusu umuhimu wa kuripoti visa vya ukiukaji wa haki za kibinadam, msimamizi wa IPOA eneo la pwani Hussen Adan anasema kesi 19 tayari ziko mahakamani.