12 Nov 2026 1:49 pm | Citizen TV 101 views Duration: 1:31 Mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa polisi IPOA imeanzisha mpango wa kuwashirikisha jamii na maafisa wa polisi katika kaunti zote 47 kuhusu maswala ya haki kwa wote na uajibikaji wa polisi.