Skip to main content
Skip to main content

Isata: Maisha na kifo cha mwanamke aliyejihusisha na biashara ya ngono

  • | BBC Swahili
    3,824 views
    Duration: 45:55
    Kwa miaka sita, BBC Africa Eye ilikuwa ikifuatilia mapambano ya Isata Kamara katika jitihada za kupambania uhai wake. Alitekwa mara mbili na kulazimishwa kuingia katika biashara ya ngono, akapigwa, akanyanyaswa na kuingia katika uraibu wa dawa za kulevya. Maisha yake yalidhihirisha changamoto zinazowakabili wanawake wengi vijana nchini Sierra Leone. Mwandishi wa habari Tyson Conteh aliamua kurekodi maisha ya Isata, na kufichua simulizi inayoweka wazi mzunguko wa umaskini, unyonyaji na uraibu unaoathiri kizazi kizima. #bbcswahili #afrikaeye #isata Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw