- 2,162 viewsDuration: 1:01Israel na Hamas zimekubaliana kuhusu awamu ya kwanza ya mpango wa kusitisha mapigano katika eneo la Gaza. Mpango huo unahusisha kuachiliwa kwa mateka wote walioko Gaza na baadhi ya wafungwa wa palestina wanaozuiliwa israel pamoja na Israel kuanza kuondoa majeshi yake kutoka Gaza