- 12,035 viewsDuration: 2:10Jackson Frederick, anayefahamika zaidi kama @jackie8_ ni Mtanzania anayeishi Madrid, nchini Hispania. Kupitia mitandao ya kijamii, Jackson amevutia watu kwa kuonesha maudhui kuhusu maisha yake nchini Hispania na kuyalinganisha na maisha ya Tanzania. Hivi karibuni, alizua mjadala mtandaoni baada ya kueleza kuwa amewahi kukumbana na vitendo vya ubaguzi akiwa Hispania. Roncliffe Odit alizungumza na Jackson ili kufahamu zaidi kuhusu safari yake. #tanzaniatiktok #jack8hispania #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw