- 199,438 viewsDuration: 1:48Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Jaji Joseph Sinde Warioba, amesema aliyekuwa Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi hakuwahi kuwa miongoni mwa wanasiasa waliokuwa wakifanya siasa za “uchawa” ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza kwenye Jukwaa la Demokrasia Tanzania chini ya chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Warioba amesema kwa muda wote ambao amekuwa akimfahamu Nchimbi, hajawahi kumwona akimsifia kiongozi kwa lengo la kujipendekeza. #bbcswahili #siasa #CCM #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw