- 4 views
Jaji mkuu Martha Koome ametetea uhuru wa mahakama, huku akiwarai walio na malalamishi dhidi ya maafisa wa mahakama kuwasilisha kesi hizo mbele ya tume ya huduma za mahakama badala ya kufanya uchochezi hadharani. Koome pia amewaambia majaji, mahakimu na maafisa wengine wa mahakama waendelee kutekeleza majukumu yao bila uoga wala upendeleo. Vilevile, ametoa wito kwa wananchi kuwa katika mstari wa mbele kuilinda katiba. Koome amesema hayo leo baada ya Anne Amadi kumkabidhi paul ndemo mamlaka ya msajili wa mahakama katika mahakama ya milimani.
Jaji Mkuu Martha Koome ametetea uhuru wa mahakama
- 14 May 2025 - Health Cabinet Secretary Aden Duale has remained firm on the transfer of the staff payroll for workers under the Universal Health Coverage (UHC).
- 14 May 2025 - Justice James Wakiaga issued the directive during a court session on Tuesday morning, in which Ochieng is contesting the Directorate of Criminal Investigations’ (DCI) decision to present him at the JKIA court through a miscellaneous application, rather…
- 14 May 2025 - A form three girl has been killed and her grade six brother sustained serious injuries after an attack at their home in Olando village, Homa Bay County.
- 14 May 2025 - Duale has affirmed that no amount of uproar will prompt him to reverse his decision.
- 14 May 2025 - The orders are to take effect immediately, with concerns over the chain's products in other counties.
- 14 May 2025 - The package will come into force after being published in the Official Journal of the EU.
- 14 May 2025 - Approximately 70 per cent of Kenya’s wildlife resides outside protected areas.
- 14 May 2025 - The former Prime Minister had listed the stipend as one of the items of his manifesto during the 2022 General Elections campaigns.
- 14 May 2025 - The Kenyan was living with a Ugandan in India at the time of the incident.
- 14 May 2025 - They said the deaths were a result of high rates of depression among the youth.