Skip to main content
Skip to main content

Jamaa afariki katika hali tata akiwa mikononi mwa polisi

  • | NTV Video
    10,053 views
    Duration: 2:33
    Familia moja kutoka eneo la Nairobi Ndogo, Isebania, kaunti ya Migori inataka haki baada ya ndugu yao aliyekamatwa kutokana na mzozo wa kifamilia kufariki dunia katika hali tata akiwa mikononi mwa polisi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya