- 3,678 viewsDuration: 2:36Utata unazingira kifo cha kutatanisha cha mwanamume mmoja katika seli za polisi katika kituo cha kawangwarwe. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 23 na ambaye alikuwa mwendeshaji wa bodaboda alifariki muda mfupi baada ya kukamatwa. Polisi wanadai kuwa alijinyonga kwa kutumia tisheti yake.