- 936 viewsDuration: 1:29Jamaa na marafiki wa Samuel Mutua Mulwa mwenye umri wa miaka 56 inalilia haki. Mulwa anadaiwa kupigwa risasi na afisa wa polisi na kufariki akipelekwa hospitali ya Makindu inalilia haki kwa mpendwa wao aliyefariki . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya