- 1,913 viewsDuration: 3:02Waathiriwa na familia za waliofariki au kujeruhiwa kwenye maandamano ya Gen Z hawakuwa na sababu ya kusherehekea sikukukuu ya Jamhuri hii leo. Waathiriwa hao walijumuika kuelezea masononeko na mahangaiko ambayo wanazidi kupitia huku serikali ikikosa kuwajibikia dhulma.