Skip to main content
Skip to main content

Jamii inahimizwa kuweka juhudi kuwasaidia watoto kuboresha afya bora ya meno Kajiado

  • | Citizen TV
    153 views
    Duration: 3:06
    Wito umetolewa kwa wazazi na jamii kwa ujumla kuzingatia afya ya meno kwa watoto, huku wataalamu wakisisitiza kuwa kinga ni bora kuliko tiba, hasa ikizingatiwa gharama kubwa ya matibabu ya meno. Haya yanajiri huku kampeni ya kutoa hamasisho kuhusu afya ya meno ikifanyika mjini wa Ngong huko Kajiado Kaskazini, ikilenga watoto wa shule.