28 Oct 2025 1:32 pm | Citizen TV 251 views Duration: 4:20 Jamii pana ya Iteso kutoka nchi za Kenya na Uganda wameungana na kuzindua mpango wa kupigana na uovu katika jamii yakiwemo maswala ya ndoa za utotoni, dhuluma za kijinsia pamoja na malezi duni katika ufalme wao.