Jamii ya Wamaasai imesifika kwa utamaduni wa kula nyama

  • | Citizen TV
    2,322 views

    Kitoweo cha nyama, iwe ya Mbuzi, Ng'ombe au Kondoo huwa chakula maalum kinachoenziwa sana na watu wa jamii ya Maa. Katika hafla mbali mbali, Nyama ndio chakula ambacho huliwa sana na jamii hiyo, wakati mwingine bila kuambatanisha na chakula kingine chochote. Lakini je, unafahamu kuwa kila sehemu ya nyama hutengewa watu tofauti kama vile kuwa kuna sehemu ya wazee ambayo hailiwi na kina mama au watoto. Robert Masai na Mengi zaidi kutoka kutoka kaunti ya Kajiado