Jamii yahimizwa kuwapa wasichana fursa ya masomo ya kidijitali Kilifi

  • | Citizen TV
    301 views

    Licha ya serikali kulenga asilimia 70 ya wasichana kupokea mafunzo ya kidijitali kupitia mpango wa Ajira Digital, katika kaunti ya Kilifi juhudi hiyo ya serikali imekumbwa na changamoto za mila na tamaduni. Wakaazi sasa wakitakiwa kukumbatia mpango huo wa serikali na kuwaruhusu wasichana kujihusisha nao.