Skip to main content
Skip to main content

Jamii zinazoishi kando ya ziwa Baringo zimekuwa zikihathirika na hali ya afya inayo dhoofika

  • | Citizen TV
    579 views
    Duration: 3:06
    Jamii zinazoishi katika kijiji cha kambi ya samaki kando ya ziwa baringo, zimekuwa zikikumbwa na hali ya afya inayodhoofika kufuatia matumizi ya maji yenye kemikali aina ya flouride. Wakaazi wengi kutoka eneo hilo wana meno yaliyobadilika rangi pamoja na mifupa yao kuwa hafifu na kutatiza uwezo wa kutembea. Na sasa serikali ya kaunti hiyo kwa ushirikiano na wadau wengine imezindiua mbinu ya kusafisha maji hayo.