Skip to main content
Skip to main content

Jamila Kizondo: Mkenya anayetangaza utamaduni wa kiswahili Marekani

  • | BBC Swahili
    66,746 views
    Duration: 19:45
    Kiswahili ni mojawapo ya lugha zinazokua kwa kasi zaidi duniani na utamaduni wa Waswahili unazidi kuvutia wengi. Hii haswa inachochewa na idadi kubwa ya Waswahili wanaoishi katika sehemu tofauti duniani, wanaotumia mitandao kuonyesha maisha na tamaduni za Uswahili. Mmoja wao ni Jamila Kizondo @jkizondo_swahilibites kutoka Mombasa Kenya. Jamila kwa sasa ni mkaazi wa Marekani, amekuwa akitumia maudhui ya mtandaoni kuonyesha lugha, chakula na utamaduni wa Waswahili. Je ni kwanini bado amekumbatia utamaduni wa Kiswahili licha ya kuishi Marekani kwa muda mrefu? Mtangazaji Kinara wa BBC Swahili @roncliffeodit alizungumza naye #bbcswahili #swahili #vyakulavyakiswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw