Skip to main content
Skip to main content

Je, Cetirizine husababisha ukavu wa uke? Ukweli wa kisayansi unasemaje?

  • | BBC Swahili
    65,522 views
    Duration: 1:33
    Wizara ya Afya nchini Kenya imeonya raia wake dhidi ya matumizi mabaya ya dawa ya Cetirizine. Cetirizine ni dawa maarufu ya kutibu mzio ama mafua ila sasa imegeuka kuwa gumzo kubwa mitandaoni nchini Kenya. Lakini si kwa sababu ya mzio Baadhi ya madai yanayosambaa yanasema dawa hii inafanya sehemu ya uke kuwa na ukavu zaidi. Lakini je, madai haya yana ukweli wowote wa kisayansi? Mwandishi wa BBC @ahmedbahajjofficial na taarifa hii #bbcswahili #aya #cetrizine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw