Skip to main content
Skip to main content

Je gari gani ina kasi zaidi duniani?

  • | BBC Swahili
    1,249 views
    Duration: 3:14
    Katika kipindi cha miaka 140 iliyopita, watu wengi wamehatarisha maisha yao wakiendesha magari kwa kasi kubwa wakitafuta kukumbukwa na vitabu vya historia. Wabunifu wa magari wametumia injini za mvuke, umeme, petroli na ndege ili kuendesha magari yao kwa kasi zaidi. Phillys Mwatee ana orodha ya magari 5 yenye kasi zaidi ambayo yamevunja rekodi duniani #bbcswahili #teknolojia #magariyakasi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw