- 20,667 viewsDuration: 4:58Desemba 9 ni Sikukuu ya Uhuru Tanzania Bara, lakini mwaka huu ilitarajiwa kuwa siku ya maandamano ya amani ya vijana maarufu kama Gen Z wanaodai uchaguzi huru, katiba mpya na kukomesha vitendo vya utekaji. Lakini siku hiyo ilipowadia, kilichotawala ni kimya kizito, huku miji mikubwa ikisalia katika tahadhari na ulinzi mkali. BBC inaangazia kwanini maandamano hayo hayakufanyika licha ya maandalizi ya wiki kadhaa, hali iliyotofautiana kabisa na matukio ya Oktoba 29 mwaka huu. Je, kimya hiki ni mwisho wa harakati au mwanzo wa sura mpya? Ahmed Bahajj na taarifa zaidi. - - #bbcswahili #maandamano #uhuru #uchaguzi2025 #genz #dec9 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw