- 3,747 viewsDuration: 5:28Je, inawezekana kizazi kizima kikawa kinapungua uwezo wa kufikiri? Alama za ufaulu katika kusoma, hisabati na sayansi kwenye mtihani mkubwa zaidi wa kimataifa unaowahusisha wanafunzi wa miaka 15 zinaendelea kushuka. Mwelekeo huu wa kushuka ulianza takribani mwaka 2012 na unaonekana kuongezeka kasi, hasa katika uwezo wa kusoma. Hapa tunachunguza baadhi ya nadharia zinazojaribu kueleza sababu za kuporomoka huku kwa matokeo. Chapters: 00:00 - 00:31 Je, uwezo wa kiakili wa Gen Z unapungua? 00:31 - 01:07 Kuendelea kushuka kwa alama za mtihani wa PISA 01:08 - 01:59 Je, Covid-19 ilisababisha alama za PISA kushuka? 02:00 - 02:36 Je, teknolojia inasababisha kushuka kwa alama za PISA? 02:37 - 03:23 Kwanini alama za kusoma ndizo zinazoshuka kwa kasi 03:24 - 04:16 Wanafunzi wanaotumia teknolojia 04:17 - 04:27 Matumizi ya teknolojia shuleni Singapore 04:28 - 04:54 Shule duniani kote zinatumia teknolojia kwa njia tofauti 04:55 - 05:32 Vijana wanaishi kat ya mitandao ya kijamii na teknolojia 05:33 - 06:01 Je, skrini za kidijitali zinaathiri uwezo wetu wa kufikiri? 06:02 - 06:22 Je, hili ni tatizo la Gen Z pekee? 06:23 - 07:11 Sababu nyingi zinazochangia hali hii #bbcswahili #genZ #teknolojia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw