Skip to main content
Skip to main content

Je kumshika mtoto bila ridhaa ya wazazi ni kosa?

  • | BBC Swahili
    3,194 views
    Duration: 34s
    Mzee huyu ashambuliwa baada ya kumpapasa mtoto kichwani, Je alipaswa kuadhibiwa namna hii? Polisi nchini Singapore wanachunguza tukio la mzee mwenye umri wa miaka 73 kushambuliwa baada ya kumpapasa kichwani mtoto mdogo wa kike katika mgahawa. Mwanaume anayedhaniwa kuwa baba wa mtoto huyo anadaiwa kumwangusha mzee huyo chini. Ingawa baadhi ya watu nchini Singapore wanadai kuwa mzee huyo hakupaswa kumgusa mtoto bila ridhaa ya wazazi, wengi waliona kuwa alitumia nguvu kubwa kwa kitendo cha kumpapasa mtoto kichwani. #bbcswahili #singapore #watoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw