Skip to main content
Skip to main content

Je, mashambulizi ya Israel huko Gaza yako karibu kuisha? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,801 views
    Duration: 28:10
    Hamas imekabidhi orodha ya majina ya mateka na wafungwa wa Kipalestina ili kubadilishana na mateka wa Israel waliopo Gaza, na imesema ina matumaini juu ya mazungumzo ya kumaliza vita huko Gaza. Mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yanalenga kuweka njia za kusitisha mzozo huo, kuondolewa kwa vikosi vya Israelikutoka Gaza na makubaliano ya kubadilishana wafungwa na mateka. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw