Skip to main content
Skip to main content

Je msichana huyu anafanana na nyota wa Norway Haaland?

  • | BBC Swahili
    2,768 views
    Duration: 37s
    Mwanamitindo wa Urusi, Anastasia Kostromitina @nas__kos anavuma mtandaoni baada ya kuchapisha video za utani zinazoonyesha jinsi anavyofanana na nyota wa soka wa Norway, Erling Haaland. Ingawa mwanzoni hakufurahishwa na watu kumlinganisha na Haaland, sasa amekubali hali hiyo kwa mzaha na ucheshi, jambo ambalo limevutia kampuni kubwa kadhaa zinazotaka kufanya naye kazi. Akiwa shabiki mpya wa soka, Anastasia anatumaini kukutana na Haaland siku moja, na kwa sasa anaishangilia Norway katika Kombe la Dunia. Je wanafanana kweli? #bbcswahili #kombeladunia #haalaand Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw