Skip to main content
Skip to main content

Je, mwani unaweza kuwa sehemu ya siri ya urembo?

  • | BBC Swahili
    3,856 views
    Duration: 2:03
    Katika kisiwa cha Lamu nchini Kenya, Zeinab Bashir (30) @royale_swahili_singo_ anatumia mwani kutengeneza bidhaa za urembo na kujenga biashara yake. Lakini zaidi ya urembo, anataka kuwapa wanawake nafasi ya kujitunza na kupumzika. Je, bidhaa za asili zina faida gani kwa ngozi, na ni mambo gani ya kuzingatia kabla ya kuzitumia? Mwandishi wa BBC @mariammjahid amemtembelea katika biashara yake na kutuandalia taarifa hii. 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw