- 12,427 viewsDuration: 2:06Baada ya Shirika la Afya Duniani, WHO, kuainisha nyama nyekundu na iliyosindikwa kuwa inaweza kusababisha saratani, swali moja limekuwa likiulizwa sana, Je nyama ya nguruwe ni nyekundu ama nyeupe? Yule yule @elizabethkazibure anakufafanulia zaidi #bbcswahili #afya #kitimoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw