- 34,255 viewsDuration: 2:40Samia Suluhu Hassan ametangazwa mshindi wa kura za urais Tanzania licha ya maandamano Tangazo hili la mwenyekiti wa tume ya uchaguzi INEC, Jacobs Mwambegele limempa Rais Samia Suluhu Hassan fursa ya kuendelea kuwa madarakani kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Je unafahamu wasifu wake ? Agnes Penda ametuandalia taarifa hii. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw