Skip to main content
Skip to main content

Je, Rais Samia ataweza kufuata utaratibu wa eda akiwa madarakani?

  • | BBC Swahili
    148,528 views
    Duration: 2:55
    Baada ya kifo cha Hafidh Ameir Hassan, mume wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, suala la kutekeleza eda limeibuka miongoni mwa waumini wa dini ya Kiislamu na Watanzania kwa ujumla. Lakini eda ni nini? na Je, Rais Samia ataendelea kuongoza akiwa eda? Mwandishi wa BBC @mariammjahid na Dk. sheikh Hassan Kinyua, mwenyekiti wa 'muslim professionals League Africa' - - #bbcswahili #Imani #uislamu #edda #raissamia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw