- 11,714 viewsDuration: 2:27Kwa miaka mingi, mapaja membamba yamehusishwa na urembo katika baadhi ya jamii, lakini je, tumekuwa tukiyatazama mapaja makubwa kwa jicho lisilo sahihi? Tafiti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa na mapaja makubwa, ambayo mara nyingi hukosolewa, kunaweza kusaidia kuongeza muda wa maisha. Je ni kwa namna gani? Mwandishi wa BBC Caro Robi anaelezea Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw