Jengo laporomoka katika eneo la Kehanguro Ruiru kaunti ya Kiambu

  • | K24 Video
    104 views

    Watu wawili wameaga dunia kufuatia jengo kuporomoka eneo la Kehunguro huko Ruiru kaunti ya Kiambu. Mjengo huo ni miongoni mwa ile ambayo imekua ikibomolewa na mamlaka ya KENHA kwa ajili ya upanuzi wa barabara . Wawili hao walikuwa wakikusanya mabaki wakati walipokumbwa na mauti.