- 20,519 viewsDuration: 28:16Jeshi la Israel lasema askari wawili waliuwawa katika shambulio lililofanywa na watu waliojihami kwa silaha wa asili ya kipalestina, huku wa Israel wengine watatu wakijeruhiwa huku wapalestina wawili walioshukiwa kuwa na silaha wakipigwa risasi na kuuwawa na askari. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw