Skip to main content
Skip to main content

Jeshi la Tanzania lawatahadharisha wanaopanga kufanya vurugu Oktoba 29

  • | BBC Swahili
    9,724 views
    Duration: 1:21
    Jeshi la Polisi Tanzania limetoa onyo kwa baadhi ya viongozi wa dini, wanasiasa na wanaharakati wanaodaiwa kuhamasisha vitendo vya vurugu na uharibifu wa mali. Polisi wanasema wamebaini kile wanachokitaja kuwa mipango ya kuwashawishi wananchi kujihusisha na vitendo vya uhalifu na wameonya kwamba watakaobainika kuhusika watachukuliwa hatua za kisheria. Kauli hiyo imetolewa leo mjini Dodoma na Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime. - - Credit @tbc_online #bbcswahili #tanzania #usalama #oktoba29 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw