- 5,882 viewsDuration: 7:44Zaidi ya ujumbe bilioni moja hutumwa kwa programu za mazungumzo za kompyuta (chatbots) kila siku, na kila mmoja hutumia maji. Kuna wasiwasi kwamba aina hii ya Akili Unde (AI) inaweka shinikizo kwenye vyanzo vya maji ya kunywa. Hapa, tunaeleza kwa nini AI hutumia maji na jinsi mahitaji ya maji yatakavyoongezeka zaidi katika siku zijazo. #bbcswahili #AI #Majiyakunywa 00:00 Nadharia ya Sam Altmans ya 1/15 ya kijiko cha chai 01:04 AI hutumia maji kiasi gani: utafiti 01:36 Kwa nini AI hutumia maji? 02:01 Kwa nini seva hupata joto? 02:34 Mfumo wa kupoza kwa kutumia kimiminika hufanyaje kazi? 03:29 Maandamano kuhusu matumizi ya maji ya AI? 03:43 AI inahitaji umeme kiasi gani? 04:16 Maji hutumikaje moja kwa moja katika AI? 04:40 Kampuni za teknolojia zinafanya nini kupunguza matumizi ya maji? 05:26 Ubunifu wa kupunguza matumizi ya maji 06:00 Mustakabali wa AI na maji ukoje? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw