Jinsi ndege aina ya flamingo huchangia kuvuta watalii katika kaunti ya Nakuru

  • | Citizen TV
    366 views

    Ndege aina ya flamingo ni moja ya vivutio vya vya utalii katika kaunti ya Nakuru. Sekta ya utalii jijini Nakuru hutegemea vivutio tofauti kama ndege hawa ili kuleta wataliii na kujivunia pakubwa kuwa nyumbani kwa ndege hawa. Hata hivyo, ndege hawa ambao huhama mara kwa mara hadi kaunti ya Baringo angalau mara mbili kwa mwaka wamekuwa wakipungua kwa kasi.