Skip to main content
Skip to main content

Jinsi sindano za kuongeza uume zinavyozua gumzo Olympic

  • | BBC Swahili
    12,931 views
    Duration: 1:18
    Jinsi sindano za kukuza uume zilivyozua gumzo kwenye Olimpiki ya Majira ya Baridi Shirika la Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani linaweza kuchunguza ikiwa ushahidi utaibuka kwamba baadhi ya wanamichezo wa kiume wanachoma sindano za uume kwa lengo la kuboresha utendaji wa michezo. Je hii ina ukweli gani? Victor Kenani anaelezea #bbcswahili #olympic #wanaume Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw