Skip to main content
Skip to main content

Jinsi uchimbaji mchanga ulifanya mto Kasikeu kupoteza maji yake

  • | NTV Video
    1,135 views
    Duration: 2:15
    Miaka kadhaa iliyopita, mito ya Kasikeu ilikuwa ikifukiwa na uchimbaji holela wa mchanga huku wakazi wakitembea kilomita nyingi kutafuta maji. Migogoro ilitanda, maisha yakapotea na jamii ikagawanyika kutokana na vita vya kulinda au kuendeleza biashara ya mchanga. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya