- 4,310 viewsDuration: 3:25Huko Pwani, viongozi wa ODM waliandaa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa marehemu Raila Odinga. Wakiongozwa na waziri Ali Hassan Joho, viongozi hao wamemtaja marehemu Raila kama nguzo kuu ya demokrasia na mfano wa kujitolea