Skip to main content
Skip to main content

Joseph Kabila: Ana malengo gani mbele ya mamlaka ya Tshisekedi DRC?

  • | BBC Swahili
    15,634 views
    Duration: 3:11
    Rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila, amechukua uongozi wa muungano mpya wa kisiasa na kijeshi unaoitwa FRN unaochukua nafasi ya ushirikiano wa makundi ya AFC-M23 yanayopambana na vikosi vya serikali mashariki mwa nchi hiyo. Je, hatua hii itabadilisha mwelekeo wa mgogoro mashariki mwa DRC? Munira Hussein anaelezea #bbcswahili #JosephKabila #M23 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw