18 Nov 2025 1:17 pm | Citizen TV 1,393 views Mkenya mmoja amefikishwa mahakamani hii leo kukabiliwa na mashtaka ya kujifanya afisa wa jeshi. Joshua Mutui Muimi amefikishwa kortini baada ya kukamatwa akijifanya kuwa afisa wa KDF na kuendesha shughuli ya usajili wa makurutu wa jeshi