- 183 viewsDuration: 3:12Juhudi za kukomesha unyanyapaa na kuhamasisha ujumuishaji wa watoto walemavu na wale wasio na ulemavu katika kaunti ya kajiado zinazidi kushika kasi. wadau wa elimu wametoa wito kwa jamii kubadili mtazamo hasi dhidi ya walemavu