Skip to main content
Skip to main content

Juhudi za kupunguza vifo kina mama wanpojifungua

  • | Citizen TV
    72 views
    Baraza la Magavana linawahimiza magavana kuhakikisha kwamba kila kaunti inaweka rekodi ya vifo vya akina mama na watoto wakati wa kujifungua. Rekodi hizo zitajumlishwa na kuchangia katika harakati za kutafuta mbinu za kupunguza vifo hivyo. Kufikia sasa kaunti nyingi hazijawajibika kuleta ripoti hizo huku vifo hivyo vikiongezeka. Takwimu za hivi punde zinaonyesha kwamba wanawake 16 hufariki kila siku wakijifungua. Mbali na ukusanyaji wa data, baraza hilo la mawaziri linaitaka serikali kuwekeza zaidi kwenye juhudi hizo.