Skip to main content
Skip to main content

Juhudi za wafugaji katika kaunti ya Samburu za kutunza msitu wa Kirisia zaanza kuzaa matunda

  • | Citizen TV
    221 views
    Duration: 3:02
    Juhudi za wafugaji katika kaunti ya Samburu za kutunza msitu wa Kirisia kupitia shirika la kirisia CFA, zaanza kuzaa matunda, wafugaji wasitisha ufugaji mifugo na baadhi ya wafugaji kugeukia ufugaji nyuki na kuasi uchomaji makaa. Hatua hii yaonekana kuhifadhi mazingira na kuimarsha maeneo ambayo msitu ulikuwa umerahibiwa.