Jumla ya shule 24 za upili zafaidika na mradi wa kujenga amani Mombasa

  • | TV 47
    26 views

    Jumla ya shule 24 za upili zafaidika na mradi wa kujenga amani.

    Mradi huo unalenga kukabiliana na visa vya utovu wa usalama.

    Vilabu vya amani vyaanzishwa katika shule za Kwale na Mombasa.

    Mradi huo unatekelezwa na shirika la kijamii la MWARP.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __