Skip to main content
Skip to main content

Junior Starlets waanza maandalizi ya Kombe la Dunia

  • | Citizen TV
    806 views
    Duration: 2:25
    Timu ya taifa ya kandanda ya wasichana wa chini ya miaka 17, Junior Starlets, imeanza maandalizi kuelekea Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Morocco mwezi Oktoba. Kikosi hicho kitashiriki mashindano hayo kwa mara ya pili. Luqman Mahmoud na taarifa kamili.